CHANGIA RADIO HURUMA

NDUGU MSIKILIZAJI, RADIO HURUMA FM KWA MUDA WOTE IMEKUWA KWAKO BABA MWENYE HURUMA ANAYEPENDA KWA UPOLE KUKUELIMISHA, KUKUFARIJI, KUKUBURUDISHA NA KUKUFUNULIA UPENDO WA MUNGU KWAKO. TUKIELEKEA KILELE CHA MIAKA KUMI YA HURUMA FM, WEWE NA MIMI HATUNA BUDI KUMZAWADIA HURUMA FM KOTI. 

KWA PAMOJA BASI, MIMI NA WEWE TUSHIRIKI KUMVALISHA KOTI BABA HURUMA FM, KWANI KWA NYAKATI NA MAJIRA MBALIMBALI AMEENDELEA KUTUONGOZA BILA KUJALI UDOGO WALA UKUBWA WAKO.

KWA KUTAMBUA UMUHIMU WA BABA HUYU HURUMA FM, INATUPASA KUSHIRIKI KWA HALI NA MALI KUMZAWADIA MCHANGO WAKO:

TUMA MACHANGO WAKO WA KIWANGO CHOCHOTE KILE ILI KUMVIKA KOTI BABA HUYU KWA NAMBA ZIFUATAZO:

AIRTEL MONEY: 0687 528 226

TIGO PESA: 0674 958 558 

M-PESA: 0752 515 203

IWAPO UTATUMIA WAKALA KUTUMA MCHANGO WAKO, TAFADHALI TUMA UJUMBE MFUPI KWENYE NAMBA HIYOHIYO KUTAJA KIASI ULICHOTUMA, JINA LAKO NA NAMBA YA WAKALA.

KWA WALE WANAOPENDA KUTUMA KWA NJIA YA BENK, WATUMIE BENK YA NMB.

JINA LA AKAUTI YETU NI: TANGA DIOCESE MULTIMEDIA CO LTD. AKAUNTI NAMBA NI: 42306600035

KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA TOVUTI YETU www.radiohuruma.co.tz

MIMI NA WEWE TUNAWEZA KUMVALISHA KOTI BABA HURUMA FM ILI AENDELEE KUTUELIMISHA, KUTUBURUDISHA NA KUTUFARIJI.